Michezo
Petr Cech asajiliwa rasmi na club ya Arsenal
Mlinda mlango wa raia wa Czech Republic, Petr Cech, ametambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Arsenal baada ya kufaulu vipimo vya afya.
Hatua hiyo imekuja baada ya kocha Arsene Wenger kufanikiwa kukamilisha usajili wa malipo ya paundi milioni 10 na klabu ya Chelsea.