Burudani

Pharrell Williams na Imaan Hammam wakava jarida la Vogue mwezi Disemba

Mwanamuziki na mtayarishaji maarufu wa Marekani, Pharrell Williams amefanikiwa kukava jarida la Vogue linalotarajiwa kutoka mwezi Disemba.

Katika jarida hilo Pharrell ametokelezea akiwa na mwanamitindo wa Uholanzi, Imaan Hammam ambaye pia ana asili ya nchini Misri na Morocco.

Hiyo itakuwa ni mara ya tatu kwa mrembo Imaan kutokelezea kwenye jarida hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents