Photos: B-Ball Kitaa Allstar Weekend – Gymkhana Grounds, DSM
Mashindano ya B-Ball Kitaa jana yalikuwa na weekend ya mastaa wote (BBall Kitaa Allstar Weekend) kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam ambapo kulikuwa na mashindano ya kudunk, mitupo ya pointi tatu, mechi ya maveteran vs mastaa na mechi kubwa ya mastaa wote wa kikapu walioshiriki kwenye mashindano hayo mwaka huu. Hizi ni picha za matukio ya jana.
Baraka akiwa juu ya goli baada ya kupiga mkuno (kudunk)
Mechi ya Allstars
Wachezaji wakiwa kwenye benchi
Mmoja wa washiriki wa Slum Dunk akimaliza kupiga mkuno kwa kutuka pikipiki
Mchezaji akiwa chini baada ya mkuno
Kama air Jordan vile
Wachezaji wakiwa na warembo wa Sprite
Chidi Benz akiperform
Fid Q akifuatilia game
Jokate Mwegelo
Andrew Mahiga alikuwa miongoni mwa majaji wa shindano la slum dunk
Mchezaji akiwa anapatiwa huduma ya kwanza baada ya kuanguka uwanjani
Mshindi wa kudanki akikabidhiwa zawaji na warembo wa Sprite
Vanessa Mdee akiwa na rafiki zake
Wakazi na Leah Tsere
Cpwaa ndani ya B-Ball kitaa jana Gymkhana