Picha
Photos: Diana Hussein is Miss Dar Indian Ocean 2012
Mrembo Diana Hussein amefanikiwa kunyakua taji la Miss Dar Indian Ocean akifuatiwa na Kudra Lupatu (kulia) na Zulfa Vuai (kushoto). Shindano la Miss Dar Indian Ocean 2012 limefanyika ndani ya Kijiji Cha Makumbusho Dar es Salaam.