Lady Jay DeeMitindoPicha
Photos: ‘Lady in Red – 2013’ after party
Last night ilikuwa ndio funga kazi ya Lady In Red 2013, baada ya kiota cha Nyumbani Lounge kuandaa party pamoja na mwanamitindo nguli wa Fabeark Fashions, Asia Idarous kama sehemu ya kutoa shukrani kwa wale wote waliohusika kwa namna moja ama nyingine kufanikisha onyesho hilo.
Kama ilivyo ada roving camera ya Bongo5 ilikuwepo in da house na hizi ndio picha za tukio lenyewe.