Picha
Photos: Linah’s concert ndani ya Columbus Ohio
Here are some photos of Linah akiwapagawisha watu wa Columbus huko akisindikzwa na upcoming artist AJ Ubao..enjoy.
Last weekend Linah alifika mitaa ya Columbus, Ohio, kwa ajili ya show iliyoandaliwa chini ya ziara yake nchini Marekani lenye lengo la kuutangaza muziki wa bongo fleva. Next show itafanyika New York City this Saturday the 28th of April.