Habari

Photos: Redds Glamour Night

 

Warembo wa Ilala, Temeke na Kinondoni wakiwa na tuzo zao walizopewa na wadhamini wao Redds katika hafla ya kuwakaribisha warembo woote wataojiunga na kambi ya Miss Tanzania mwaka huu, kulia ni meneja wa kilaji cha Redds, Kabula Nshimo



Kutoka kushoto ni Jackson Kalikumtima (Mratibu Miss Ilala), Miss Tanzania/Afrika 2005 Nancy Sumari, Miss Kinondoni 2010 Alice Lushiku pamoja na Mratibu wa Miss Kinondoni Boy George.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents