Picha
Photos: Show ya Shetta ilivyojaza Club Maisha
Usiku wa jana Shetta aka the President alitambulisha single yake mpya Bonge la Bwana pamoja na style yake mpya ya Kiduku Swaga na Tetemesha. Show ilifana sana huku akisindikizwa na wakali kibao kama Roma, Shilole, Suma Mnazaleti, Ney wa Mitego, Makomando, Pasha, Young Dee, Nyandu Tozi na kundi jipya la Dada Rashac,