Picha
Photos: Top 10 Most Sexiest Actress of Bollywood – 2013
Hii ni orodha ya waigizaji 10 wa kike warembo zaidi wa Bollywood (Top 10 Most Sexiest Bollywood Actress). Chart hii inatokana na idadi ya kura kila muigizaji alipata kutoka kwa wasomaji wa mtandao wa www.top10bollywood.com. Jumla ya kura 14,183 zilipigwa kwa kipindi cha siku 12.
1. Katrina Kaif
2. Anushka Sharma
3. Jacqueline Fernandez
4. Priyanka Chopra
5. Deepika Padukone
6. Aishwarya Rai Bachchan
7. Kareena Kapoor
8. Asin
9. Bipasha Basu
10. Kangana Ranaut