Habari

Pic of the Day: Lebron James atoa Shavu kwa Bendera ya TZ!

Star ya TEAM USA katika Olympics kwa upande wa Basketball, Lebron James, amepost picha ambamo bendera ya Tanzania ikiwa imeonekana, akiwa katika mishe ya kutembelea jiji la London ambako ndiko Olympics zinaendelea kwa muda huu.

Katika Comments watu walimpongeza Lebron kwa utalii wqake na pia users tofauti katika Instagram ambao ni wa Tanzania walionekana wakifurahishwa na kusifia bendera yao!

Woop Woop, Tanzania Flag #TunrtUp!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents