Siasa

Pic Of The Day: Rais Barack Obama akiwa na Justin Timberlake

Hii ni picha ya rais wa Marekani Barack Obama na mwanamuziki Justin Timberlake ofcourse wakiwa katika ‘Suit and tie’ iliyowekwa jana (May 29) katika akaunti ya twitter ya Mr President.

obama na timberlake

Unahisi muimbaji wa ‘Suit and Tie’ Timberlake alikuwa anamuonesha kitu gani kwenye simu yake cha kumfanya Obama atabasamu hivyo?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents