BurudaniPicha

Picha: Dogo Janja anafaa kuwa msanii namba moja kwa uvaaji Bongo kama anavyodai?

 

Hivi karibuni msanii Dogo Janja amekuwa akijipigia upatu kuwa yeye ndiye msanii anayeogoza kwa kuvaa hapa Bongo.

Msanii huyu amepost ujumbe instagram ulioashiria muendelezo wa tambo zake “uwezo wao wa kuvaa upo chini zaidi ya Soksi zangu,” aliandika Dogo Janja.

Sasa basi B5 zimekuletea hizi picha 10 kutoka kwake, Je anastahili kusema hivyo?. kazi ni kwako.   

 

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents