Picha 13: Kala Jeremah akamilisha video mpya, muda wowote kuamsha dude
Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Kala Jeremah amekamilisha kushoot video mpya ya wimbo unaoitwa Kijana ambao utatoka hivi karibuni. Bongo5 inakuletea hizi picha 13 za video hiyo.