Burudani

Picha 5: Ebitoke kaamua kuvunja kabati ‘yes or no?’

Ebitoke ni Mchekeshaji kutoka kundi la Timamu. Ebitoke amepata umaarufu mkubwa kutokana na style yake ya kupaka mafuta mengi na wanja mpana pamoja na mavazi ya ‘kishamba’.


Kutokana na style yake baadhi ya mashabiki wamekuwa wakimchukulia kama mtu mshamba na msichana ambaye si mrembo. Hiyo imekuwa ikifanya pindi anapoonekana kapendeza au nje ya muonekano wa awali watu kumkodolea macho.

Sasa hizi ni baadhi ya picha ambazo ameamua kuachana na muonekano wake wa kuigiza, je ni yes or no?.


Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents