Burudani ya Michezo Live

Picha 7: Familia ya WCB ilivyojiachia na tuzo ya Rayvanny

Baada ya Rayvanny kutoka WCB kushinda tuzo ya BET 2017 katika kipengele cha International Viewers Choice,  na kuwasili nayo nchini jana jioni, hizi ni baadhi ya picha kutoka ndani ya familia ya WCB walivyojiachia katika picha na tuzo hiyo.

Rich Mavoko
Lukamba, mpiga picha WCB
Mkubwa Fella na Rayvanny
Eris Mzava, mpiga picha WCB
Meneja wa Harmonize, RicardoMomo
Meneja wa Rayvanny, Makame
Lizer, prodyuza Wasafi Records

Photo Credit: Instagram-WCB Wasafi

By Peter Akaro 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW