Burudani ya Michezo Live

Picha 8: Mikao ya Ebitoke iliyobamba zaidi

Mchekeshaji wa Timamu Media, Ebitoke ameteka vichwa vya habari hivi karibuni hasa mitandaoni kutokana na style yake ya uchekeshaji.

Licha ya uchekeshaji wake kuvutia watu wengi, pia kitendo cha kujitokeza hadharani na kutamka anampenda msanii wa Bongo Flava, Ben Pol na mwisho wa siku wakawa pamoja kimemuongezea umaarufu mkubwa.

Ukiachana na hayo mambo mawili, pia amekuwa na mitindo kama sio mikao katika kupiga picha, mitindo ambayo ni ya kushangaza kidogo. Hizi ni baadhi ya picha ambazo zimebamba zaidi kutoka na style.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW