BurudaniUncategorized

Picha: Angelina Jolie amataja Brad Pitt katika jarida la ‘Vanity Fair’

Muigizaji wa filamu  Hollywood  Marekani, Angelina Jolie anatarajiwa kukava  jarida la ‘Vanity Fair’ linalotoka  Septemba 2017.

Katika jarida hilo Angelina atamzungumzia maisha yake ya sasa pamaoja na  mahusiano aliyokuwa nayo na  aliyekuwa mumewe Brad Pitt.

Picha zitakazokuwa katika jarida hilo.

Mahusiano ya mwanamama huyo  na Brad Pitt waliisha mna mwaka jana baada ya kuvunja ndoa yao waliofunga mwaka  2014 na walibahatika kupata watoto sita kati yao wapo awalioawasili.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents