Michezo

Picha: Arsene Wenger na Jose Mourinho walivyotaka kuzichapa uwanjani

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger na mwenzake wa Chelsea, Jose Mourinho almanusra wageuke Mayweather na Maidana kwenye mechi kali iliyofanyika Stamford Bridge kati ya timu hizo.

1412517546264_wps_25_Chelsea_V_Arsenal_5_10_20
Kocha wa Arsenal, Wenger kushoto akisukumana na mpinzani wake Mourinho wa Chelsea

Wakati mechi ikiendelea ikiendela palitokea kutokuelewana baina ya makocha hao wawili baada ya Wenger kumfuata Mourinho na kuanza kusukumana baada ya beki wa Chelsea, Cahil kumchezea rafu Sanchez.

1412518009731_wps_32_Chelsea_s_Portuguese_mana
Mwamuzi akijaribu kuwaamua

Makocha hao walijikuta wakianza kusukumana na nakutokea mzozo hadi mwamuzi alipowafuata na kuwapa onyo kuwa wakiendelea atawatoa wote nje ndipo walipotulia. Mchezo uliisha kwa Chelsea kushinda 2-0.

Akiongea na waandishi wa habari, Wenger alisema hajutii kitendo hicho.

1412518223101_Image_galleryImage_LONDON_ENGLAND_OCTOBER_05
Mzozo huo uliteka hisia za watu wengi

1412517666924_wps_30_Arsene_Wenger_manager_hea
Ubabe ubabe tu

1412517665657_Image_galleryImage_Arsene_Wenger_manager_hea

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents