Picha: Aubameyang aanza mazoezi rasmi Arsenal chini ya ulinzi mkali wa mzee Wenger

Mshambuliaji mpya wa klabu ya soka ya Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang ameanza rasmi mazoezi na timu hiyo lakini akiwa mwenyewe huku akisimamiwa vikali na kocha Arsene Wenger.

Mchezaji huyo alitangazwa kuwa mchezaji mpya wa Arsenal Jumatano hii baada ya kukamilisha usajili wa paundi milioni 56 akitokea Borussia Dortmund.


Pierre-Emerick Aubameyang akiwa mazoezini na kocha Arsenal Wenger

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW