Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Picha: Labour Day Eve’ Party and Avril’s Birthday Bash – Elements Dar

Mwanamuziki mrembo wa nchini Kenya, Avril Nyambura alifanyiwa party ya birthday ya aina yake kwenye kiota cha Elements Restaurant and Lounge kilichopo Masaki jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia siku ya wafanyakazi duniani, May Mosi.

Avril ambaye aliitambulisha pia ngoma yake mpya aliyomshirikisha Ommy Dimpoz, amesherehekea birthday yake na mastaa kibao wakiwemo Prezzo, AY, Mwana FA, Linex, Jokate Mwegelo, Vanessa Mdee, Salama Jabir, Brigitte Alfred (Miss Tanzania 20120 na wengine kibao.

Labour Day Eve’ Party and Avril’s Birthday Bash iliandaliwa na SK Entertainment na Unity Entertainment na kudhaminiwa na Heineken Tanzania na Vodacom.

Hizi ni picha za party hiyo.

IMG_9959

IMG_9958

IMG_9856

IMG_9829

Elements kwa nje
Elements kwa nje

IMG_9827

IMG_9826

IMG_9825

IMG_9824

IMG_9823

IMG_9822

IMG_9818

IMG_9817

IMG_9816

IMG_9811

IMG_9801

IMG_9669

Mrembo Avril
Mrembo Avril
Linex na Heineken pembeni
Linex na Heineken pembeni

IMG_9656

IMG_9655

The sexy Avril
The sexy Avril

IMG_9994

We must admitt AY's girlfriend is very beautiful
We must admitt AY’s girlfriend is very beautiful

IMG_9990

IMG_9984

Arthur wa Unity Entertainment akiwa na Avril
Arthur wa Unity Entertainment akiwa na Avril

IMG_9967

IMG_9966

Happy moment
Happy moment

IMG_9956

IMG_9951

Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred (kushoto) akiwa na rafiki
Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred (kushoto) akiwa na rafiki
Linah akiwa na washkajiww
Linah akiwa na washkajiww
Keki ya Avril
Keki ya Avril

IMG_9925

Linex, Prezzo na FA
Linex, Prezzo na FA
Thandi Kathembe na Carlos wa Samaki Samaki
Thandi Kathembe na Carlos wa Samaki Samaki
Nchakalih na Abby
Nchakalih na Abby

IMG_9916

Vanessa Mdee akifurahia jambo
Vanessa Mdee akifurahia jambo
Vanessa Mdee na Abby
Vanessa Mdee na Abby
Meneja wa Heineken Tanzania, Uche Unigwe (katikati) akiwa pamoja na Avril
Meneja wa Heineken Tanzania, Uche Unigwe (katikati) akiwa pamoja na Avril

IMG_9903

IMG_9899

Feza Kessy na Avril
Feza Kessy na Avril

IMG_9875

Prezzo na FA
Prezzo na FA

IMG_9872

IMG_9871

Brothers
Brothers
Arthur, Prezzo, AY na FA
Arthur, Prezzo, AY na FA

IMG_9846

IMG_9845

Prezzo na shemeji yake
Prezzo na shemeji yake

IMG_9842

IMG_9839

Prezzo akisalimiana na swahiba wake AY
Prezzo akisalimiana na swahiba wake AY

IMG_9835

Prezzo akiingia Elements
Prezzo akiingia Elements
Jokate Mwegelo
Jokate Mwegelo

IMG_9811

IMG_9769

IMG_9783

IMG_9797

Nchakalih na washkaji
Nchakalih na washkaji

IMG_9736

AY akiwa na mrembo wake
AY akiwa na mrembo wake

IMG_9765

IMG_9698

IMG_9684

IMG_9675

IMG_9665

IMG_0070

IMG_0058

Salama na Mwana FA
Salama na Mwana FA

IMG_0032

IMG_0035

IMG_0049

IMG_0052

Avril akifurahia birthday yake
Avril akifurahia birthday yake

IMG_0030

IMG_0028

IMG_0025

IMG_0023

IMG_0019

IMG_0013

IMG_0012

IMG_0009

IMG_0006

IMG_0028

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW