Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Picha: Bahati wa Kenya afunga ndoa na mchumba wake Diana Marua

Mwanamuziki wa injili nchini Kenya, Bahati amefanikiwa kufunga ndoa na mpenzi wake Diana Marua.

Kwa mujibu ya baadhi ya mitandao ya nchini humo imedai kuwa wawili hao wamefunga ndoa hiyo Ijumaa ya Oktoba 20 mwaka huu. Hizi ni baadhi ya picha za ndoa yao hiyo.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW