Burudani

Picha: Banky W afunga ndoa ya kimila

Msanii wa muziki kutoka Nigeria na CEO wa EME, Banky W ameamua kuachana na maisha ya ubachela, kwa kufunga ndoa na mpenzi wake Adesua Etomi wikiendi hii.

Banky W ambaye aliripotiwa kuwa anapambana na ugonjwa wa kansa ya ngozi wiki chache zilizopita ameamua kufunga ndoa ya kimila iliyofanyika katika mji wa Lagos Nigeria. Sherehe hiyo ilipambwa kwa mavazi ya kimila.

Wiki chache zilizopita Banky W alifanyiwa upasuaji wa tatu katika maisha yake kwa ajili ya kutibu kansa ya ngozi ila kwa sasa anaendelea vizuri na mwenye afya njema.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents