Michezo

Picha: Barack Obama ashuhudia mchezo kati ya Chicago Bulls na Cleveland Cavaliers

Rais wa Marekani Barack Obama alikuwa mmoja kati ya watu waliohudhuria mchezo kati ya Chicago Bulls dhidi ya Cleveland Cavaliers, alfajiri ya Jumatano hii kwa saa za Afrika Mashariki.

2DDB84E600000578-3292729-Obama_arrives_at_the_United_Center_to_watch_the_Chicago_Bulls_pl-a-29_1445998384823

Huo ulikuwa sehemu ya mechi za ufunguzi wa ligi ya kikapu ya Marekani, NBA.

2DDB884F00000578-3292729-Obama_is_a_huge_fan_of_the_Chicago_Bulls_and_was_in_attendance_a-a-28_1445998384822

Obama ambaye ni shabiki mkubwa wa Chicago Bulls, alipata nafasi ya kushuhudia timu hiyo ikipata ushindi wa pointi 97-95 dhidi ya Cavaliers katika dimba la United Centre.

2DDB7AE600000578-3292729-Barack_Obama_was_courtside_to_watch_the_opening_match_of_the_201-a-26_1445998384818

Wachezaji wengi akiwemo LeBron James na Derrick Rose walidai kuwa ni heshima kubwa kucheza mechi mbele ya Rais Obama.

2DDB773000000578-3292729-The_American_president_takes_his_seat_at_courtside_to_watch_the_-a-32_1445998384874

Baada ya kushuhudia mechi hiyo, Obama aliandika kwenye Twitter:

2DDB9FD300000578-3292729-James_goes_up_for_a_dunk_during_Cleveland_s_game_against_the_Chi-a-31_1445998384827

2DDBDA6900000578-3292729-image-a-42_1446000808768

2DDBFACC00000578-3292729-image-a-43_1446000811014

2DDBFC3B00000578-3292729-image-a-40_1446000805484

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents