Picha
Picha: Beyonce aanza Mrs. Carter World Tour nchini Serbia kwa kupiga nyomi la kufa mtu
Beyonce jana Jumatatu amepiga show ya kwanza ya tour yake ya dunia, Mrs. Carter kwenye uwanja wa Kombank Arena huko Belgrade, Serbia.
Akiwa na mavazi mbalimbali, Bey aliperform nyimbo 20 huku uwanja huo ukiwa na nyomi ya kufa mtu. Baada ya show Bey aliandika kwenye Instagram“Thank you Serbia!❤”
Wiki hii pia Beyonce atakuwa nchini Croatia na Slovakia.