Burudani

Picha: Beyonce na watoto 3, urembo wa kumezewa mate

Wakati wadada wengi wa Bongo wakifikiria kuzaa ni kupoteza urembo wao, lakini kwa mastaa wa kike duniani imekuwa tofauti hasa kwa muimbaji Beyonce.

Queen Bey kwa sasa ni mama wa watoto watatu akiwemo Blue Ivy mwenye miaka mitano na mapacha wake aliowapata mwezi uliopita Sir na Rumi Carter. Hata hivyo msanii huyo amezidi kuonekana mrembo zaidikama msichana wa miaka 18 kutokana na picha ambazo ameziweka katika mtandao wake wa Instagram siku ya jana kwa mara ya kwanza tangu alipojifungua.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents