Burudani

Picha: Big Sean afunga mwaka kwa kununua jumba la kifahari

Rapper Big Sean anakaribia kuufunga mwaka 2017 kwa kuonesha jeuri ya fedha. Amenunua jumba la kifahari lenye thamani ya dola milioni 8.7 ambapo kwa fedha za kitanzania ni zaidi ya shilingi bilioni 19.5.

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, umedai mjengo huo ambao upo katika eneo la Beverly Hills, California unaukubwa wa eneo la mraba 11,000 sq, vyumba saba vya kulala, na mabafu 8.

Hizi ni baadhi ya picha za jumba hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents