Picha

Picha: Bilionea wa UK, Richard Branson akizindua kiota chake cha kifahari ‘Mahari Mzuri’ ndani ya Maasai Mara

Bilionea wa nchini Uingereza, Sir Richard Branson hivi karibuni alikuwa mwenyeji wa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kwenye kiota chake kilichopo ndani ya mbuga ya Maasai Mara.

Mahali-Mzuri-Opening

Kiota hicho kiitwacho ‘Mahari Mzuri Safari Camp’ kilifunguliwa rasmi weekend iliyopita na kupewa baraka na wazee wa kabila la Wamasai.

mahali-mzuri-2-690x459

Ingawa hoteli hiyo ilikuwa imeanza kazi tangu mwaka 2003, Branson aliizindua rasmi kwa kuwaalika wazee wa kabila hilo kubariki huku tayari Branson akiwa anatumbulika kama mzee wa kabila hilo tangu miaka minane iliyopita.

Mahalimzuri
Gharama za kulala kwa usiku mmoja zinaanzia $590 kwa mtu mmoja

mahali-mzuri-1

Mahali Mzuri inajumuisha mahema 12 ya kulala yaliyopewa jina la makundi 12 ya kabila Maasai kwenye eneo hilo.

mahali-mzuri-3-690x459

mahali-mzuri-4-690x258

mahali-mzuri-5-690x258

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents