Michezo

Picha: Birthday party ya David Luiz wa Chelsea ilivyowashangaza watu

April 22 ilikuwa ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwa beki wa Chelsea, David Luiz. Hata hivyo siku hiyo furaha iliongezeka zaidi upande ake baaada ya timu yake hiyo kufanikiwa kutinga katka hatua ya fainali ya kombe la FA.


Willy Cabellero, Asmir Begovic, Andreas Christensen, Willian, David Luiz, Eden Hazard, John Terry na wengine kwenye birthday party

Baada ya kutinga kwenye hatua hiyo kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Southampton, party la kufa mtu kwenye klabu ya usiku ambayo ipo karibu na uwanja wa Stamford Bridge.

Party hiyo ambayo ilikuwa ya aina yake kuanzia kwenye mavazi mpaka uandaaji wake, ilihudhuriwa na wachezaji kibao wa Chelsea pamoja na beki kisiki wa zamani wa timu hiyo, John Terry. Tazama baadhi ya picha nyingine hapa chini za sherehe hiyo.


Cesc Fabregas (kushoto), Marcos Alonso na Pedro


John Terry akiwa na mkewe Toni Terry na watoto wao

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents