Bongo Movie

Picha: Bongo Movie Unity wazindua kilimo kwanza Kondoa, Dodoma

Bongo Movie Unity

Katika kujiweka karibu na wananchi hivi karibuni wasanii wa Bongo Movie Unity waliitembelea wilaya ya Kondoa, Dodoma katika uzinduzi wa kilimo kwanza.

“Ni jadi yetu ya kufanya kazi za jamii juzi tulikwenda Kondoa kwa ajili kufanya uzinduzi wa Kilimo kwanza uliofanyika Kijijini Kwadelo lengo na dhumuni lilikuwa kwenda kuhamasisha mpango mzima wa vijana kuacha kuja mijini na kuwekeza kwenye kilimo,” aliandika Ray kwenye blog yake.

“Na kuanzia tu Serikali ilitoa Matrekta sitini na nne kama kianzio cha mradi huo.” Hizi ni baadhi ya picha za uzinduzi huo.

Wema Sepetu na Irene Uwoya wakisalimiana na wananchi
Wema Sepetu na Irene Uwoya wakisalimiana na wananchi
Wema akiwa na wanakijiji wa Kwadelo
Wema akiwa na wanakijiji wa Kwadelo
Ray akisalimiana na wanakijiji
Ray akisalimiana na wanakijiji
JB akitoa nasaha
JB akitoa nasaha
JB akijiandaa kuendesha trekta
JB akijiandaa kuendesha trekta

DSC01341

Irene akionesha ujuzi wa kuendesha trekta
Irene akionesha ujuzi wa kuendesha trekta
Richie
Richie

DSC01391

Diwani akiongea na wanakijiji
Diwani akiongea na wanakijiji

DSC01332

Irene Uwoya
Irene Uwoya

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents