Picha

Picha: Brazil waomboleza, moto kwenye klabu ya usiku waua watu 231

83f44a55476cd703270f6a7067008119 (640x424)

Brazil imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kutokana na vifo vya watu 231 waliokufa kwenye klabu ya usiku katika mji uliopo kusini mwa nchi hiyo, Santa Maria.Moto huo unadaiwa kuanza baada ya member wa bendi inayotumbuiza kwenye klabu hiyo ya usiku iitwayo Kiss kuwasha moto akiwa kwenye stage na kusambaa.

Mamlaka nchini humo zinadai kuwa watu wengi walipoteza maisha kutokana na kuvuta moshi mwingi. Leo yanafanyika mazishi ya kwanza.

Hilo ni tukio baya la moto kuwahi kusababisha vifo vya watu wengi nchini humo katika kipindi cha miongo mitano.Huko Santa Maria, siku 30 zimetangazwa kwaajili ya maombolezo.Zaidi ya watu 100 wanatibiwa hospitali huku wengi wao wakiwa wamevuta moshi mwingi.

Kuna taarifa kuwa watu wengi waliokufa walishindwa kutoka kwakuwa kulikuwa na mlango mmoja tu wa dharura.Shirika la habari la Brazil, Globo limedai kuwa wengi waliofariki kwenye moto huo ni vijana wenye umri wa miaka 16 na 20.

Chumba cha kuhifadhia maiti cha muda kiliwekwa kwenye gym moja jijini humo kwakuwa vile vya hospitali vilishishwa kuhimili wingi wa maiti.

4fb86d0e45abcf03270f6a706700d34d (640x445)

5c251ae845b1cf03270f6a7067001f2d (640x420)

6c4839ae459acf03270f6a7067008616 (640x427)

6e5ade1b4523cd03270f6a70670043d5 (640x425)

838c519846fdd503270f6a706700157b (640x421)

2013-01-27T192038Z_805140220_GM1E91S08Y901_RTRMADP_3_BRAZIL-NIGHTCLUB-FIRE (640x441)

2013-01-27T213701Z_2112083788_GM1E91S0FHW01_RTRMADP_3_BRAZIL-NIGHTCLUB-FIRE (640x417)

2013-01-27T214134Z_2038344696_GM1E91S0FP301_RTRMADP_3_BRAZIL-NIGHTCLUB-FIRE (640x389)

82886735463bd203270f6a706700ac9e (640x427)

a92eed77466cd303270f6a7067005c05 (640x492)

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents