Burudani

Picha: Cassper Nyovest anavyotanua wigo wa muziki wake Nigeria

Baada ya kumalizana na Davido kupitia ngoma ya ‘Check On You’, Cassper Nyovest amekutana na rapper Ycee kutoka Nigeria.

Cassper Rapper ambaye ameshafanya kazi na baadhi ya wasaii kutoka nchini humo akiwemo Wizkd, wikiend hii amekutana na mkali huyo kutoka Tinny Entertainment, Ycee na kuamua kuingia studio.

Picha hizo zimetoka baada ya Ycee kutoka kutumbuiza katika jumba la Big Brother Naija 2018 jumapili hii. Kwa sasa Ycee ameachia EP iitwayo ‘Late Night Vibrations’.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents