Picha

Picha: Chismo aliyedai kuibiwa wimbo na Richie Mavoko ‘Follow Me’ aula

Msanii Chipukizi aliyewahi kuingia kwenye mgogoro mkubwa na Richie Mavoko kuhusu wimbo ‘Follow Me’ akidai kuwa ulikuwa wake, amepata shavu la kupewa mkataba wa usimamizi.

DSC_0125 copy
Chismo na Meneja wake Duwe Santana wakisaini mkataba

Chismo ambaye jina lake halisi ni Adam Mustafa ameingia mkataba na kampuni Machapta Inc itakayomsimamia kwa kipindi cha mitatu. Msanii huyo alianza muziki kama dansa na alishafanya kazi na wasanii kibao wakiwemo Bob Junior, Dully Sykes, Baby J, Tunda Man na Richie Mavoko.

Akiwa kwa Richie, anasema ndiko wimbo wake Follow Me ulioibiwa kwakuwa alikuwa akiuimba mbele yake.

DSC_0130 copy
Chismo ashikana mkono na Mkurugenzi wake Mwinyi Machapta

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents