Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Picha: Chris Brown adaiwa kuwa na mahusiano na mrembo huyu wa Indonesia

Chris Brown na msanii Agnes Monica Muljoto maarufu kama Agnez Mo kutoka nchini Indonesia, wazidi kuwachanganya mashabiki.

Hivi karibuni wawili hao wamekuwa wakidaiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi kutokana na kuonekana wakiwa pamoja kwenye picha kadhaa ambazo wamekuwa wakizipost katika mitandao yao ya kijamii.

Hata hivyo inadaiwa pia wawili hao tayari wameshirikiana kutengeneza ngoma mpya ambayo itatoka muda sio mrefu.

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW