Burudani

Picha: Chris Brown, Nicki Minaj, Meek Mill, Tyga na wengine kwenye mechi ya kikapu ya mastaa ya BET

Kabla hawajatumbuiza kwenye show ya tuzo za BET alfajiri ya leo (kwa saa za Afrika Mashariki), mastaa wa Marekani walijumuika kwenye mechi ya kila mwaka ya Sprite Celebrity Basketball Game, Jumamosi.

bet-basketball-game-2015-10

Mechi hiyo ya kirafiki ilijumuisha mastaa wa hip-hop na R&B na kuchezwa jijini Las Angeles.

bet-basketball-game-2015-1

Mastaa hao ni pamoja na Chris Brown aliyeongoza timu iliyokuwa na jezi nyeupe akiwa na Meek Mill, Omarion, Snoop Dogg, Rae Sremmurd, na Daniel “Boobie” Gibson. Timu ya kijani ilikuwa na The Game, Tyga, French Montana, Soulja Boy, K Camp, Trevor Jackson, na Normani Kordei.

bet-basketball-game-2015-13

bet-basketball-game-2015-2

bet-basketball-game-2015-3

bet-basketball-game-2015-4

bet-basketball-game-2015-5

bet-basketball-game-2015-6

bet-basketball-game-2015-7

bet-basketball-game-2015-8

bet-basketball-game-2015-9

bet-basketball-game-2015-11

bet-basketball-game-2015-12

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents