Burudani

Picha: Ciara ajiandaa na ujio wa mtoto wake wa pili kwa baby shower

Safari ya Ciara na mumewe Russell Wilson kupata mtoto wao wa kwanza inakaribia. Lakini atakuwa ni mtoto wa pili kwa Ciara.

Katika kujiandaa na mapokezi ya mtoto huyo, staa huyo wa muziki amefanya baby shower wiki hii na kuwashirikisha rafiki zake pamoja na watu wake wa karibu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents