Picha ‘clear’ ya Goldie na Prezzo jijini Nairobi yasambaa mtandaoni


Hivi karibuni kituo cha Channel O kilikuwa na jijini Nairobi kikiwa na mastaa kibao wa Afrika na kurekodi O News kwenye ukumbi wa KICC.

Mastaa hao ni pamoja na Channel O VJs Denrele wa Nigeria, Jokate, J Town wa Ghana na Flavia wa Uganda.

Kulikuwepo pia na wasanii kama Khuli Chana wa Afrika Kusini, Banky W wa Nigeria na Wizkid.

Lakini pia kulikuwepo na ujio wa Goldie ambaye alienda kimya kimya. Kuna picha ilisambaa wiki hii inayomuonesha msichana mwenye nywele kama za Goldie akiwa na Prezzo japo sura haikuwa inaoenaka. Sasa kumepatikana picha inayowaonesha vizuri mastaa hao na kuthibitisha tetesi hizo huku ikionesha kuwa wapenzi hao wa BBA wanaelewana vizuri kwa sasa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents