Habari

Picha: Clouds TV International ipo jengo moja na CNN Abu Dhabi, UAE

Watangazaji wa Clouds FM, Gerald Hando, Ephraime Kibonde na wengine wamealikwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga kwenda kushuhudia mradi mpya wa kampuni hiyo, Clouds TV International jijini Abudhabi katika Muungano wa Falme za Kiarabu, UAE.

10151764_831598010189863_1528032240_n
Kibonde na Hando wakiwa kwenye studio za Clouds TV International jijini Abu Dhabi

1920106_831598483523149_579555603_n
Kibonde na Hando wakiwa na mtangazaji wa CNN Abu Dhabi

1925105_831598700189794_289977480_n
Mtangazaji wa CNN aliyepiga picha na Kibonde na Hando

Studio za kituo hicho kitakachokuwa kikionekana dunia nzima zipo kwenye jengo moja zilipo studio za kituo cha CNN tawi la Abu Dhabi.

1891056_831634103519587_758009576_n
Kibonde, Kusaga na Hando

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents