Tupo Nawe

Picha: Clouds watangaza ujio mpya wa Tamasha la Tigo Fiesta 2019

Lile Tamasha kubwa la muziki nchini Tanzania Tigo Fiesta linatarajia kuanza kutimua vumbi siku za usoni huku waandaji wa Tamasha hilo wakionekana kujipanga zaidi ndani ya mwaka huu.

Meneja Mawasiliano wa wa  Tigo Woinde shisael  akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Uzinduzi msimu mpya tamasha la Muziki la Tigo Fiesta 2019 kushoto kwake ni  Mwenyekiti wa kamati ya Fiesta Sebastian Maganga katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mapema jana katika ofisi za Clouds Media Group.

Mwenyekiti wa kamati ya Fiesta Sebastian Maganga akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)  wakati wa. Uzinduzi msimu mpya tamasha la Muziki la Tigo Fiesta 2019 mkutano huo ulifanyika katika ofisi za Clouds Media Group.

Uzinduzi msimu mpya tamasha la Muziki la Tigo Fiesta 2019 likiwa na maandalizi lukuki ikiwemo burudani na promosheni kabambe.

Shangwe zikiendelea mara baada ya Uzinduzi msimu mpya tamasha la Muziki la Tigo Fiesta 2019 likiwa na maandalizi lukuki ikiwemo burudani na promosheni kabambe

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW