Michezo

Picha: Conor McGregor apooza machungu ya ngumi za Mayweather

Baada ya Floyd Mayweather kumtwanga Conor Mc Gregor, hatimaye bondia huyo kutoka Ireland ametimkia katika fukwe za Ibiza na familia yake.

Picha zilizonaswa na mapaparazi zimemuonyesha Mc Gregor akiwa kwenye boti kubwa pamoja na familia yake wakipunga upepo wa bahari wa fukwe hizo zilizopo nchini Ufaransa.

Pambano la Mc Gregor na Floyd Mayweather lilifanyika katika ukumbi w T-Mobile Arena maeneo ya Las Vegas nchini Marekani na liliudhuliwa na mastaa kadhaa, pambano hilo liliisha katika raundi ya 10 baada ya Mayweather kumtwanga mpinzani wake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents