Burudani

Picha: COSOTA yashirikiana na wasanii katika siku ya miliki bunifu duniani

Chama cha haki miliki Tanzania (COSOTA) kikishirikiana na WIPO kimeadhimisha siku ya Miliki Bunifu Ijumaa hii jijini Dar es Salaam.

4K0A0364
Rais wa shirikisho la filamu, Simon Mwakifamba akiwa na Natasha

Warsha hiyo ya siku mbili imehudhuriwa na wasanii mbalimbali wa muziki na filamu na mgeni rasmi alikuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mndeme.

Wasanii wa kundi la Mizengwe walitumbuiza.

Hizi ni picha za tukio hilo.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama cha Hakimiliki Tanzania(COSOTA) Doreen Anthony Sinare akiongea jambo
Afisa Mtendaji wa COSOTA, Doreen Anthony Sinare akiongea jambo

Mh.Janeth Mndeme Naibu waziri wa Viwanda na Biashara
Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mndeme

4K0A0358
Andrew Mahiga akiwa na P.Funk

4K0A0393
Mh. Janeth Mndeme akifurahia jambo

4K0A0359
Wasanii wa Mizengwe

4K0A0366

4K0A0368

4K0A0371

4K0A0376

4K0A0382

4K0A0383

4K0A0392

4K0A0395

4K0A0403

4K0A0408

4K0A0409

4K0A0415

4K0A0417

4K0A0430

4K0A0438

4K0A0449

4K0A0462

4K0A0463

4K0A0467

4K0A0477

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button