Picha

Picha: Cpwaa asema bila video kali digitali itawamaliza wasanii

Rapper Ilunga Khalifa aka Cpwaa amesema uamuzi wa Tanzania kuhama kutoka kwenye mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda wa digitali umewapa changamoto kubwa wasanii wa muziki Tanzania kwakuwa wananchi wengi sasa wana uwezo wa kuona channel nyingi za kimataifa zinazocheza video kali.

IMG_6725 (600x400)

Akizungumza kwenye kongamano kuhusu mchango wa technolojia ya mawasiliano na habari, ICT kwenye tasnia ya burudani nchini lililofanyika juzi Jumatatu katika kituo cha ubunifu wa ICT cha KINU jijini Dar es Salaam, Cpwaa alisema wasanii wakiendelea kufanya video zao kwa mazoea zitaishia kuchezwa hapa hapa nchini na kushindwa kufaidika na mfumo huo.

“The sad story you used to see EATV, Clouds TV, EATV, DTV, Channel 1O, C2C but right now you have Trace TV, BET so the viewers right now are exposed to more advanced television and the say like I ain’t gonna watch that ….. cause they didn’t afford DSTV and stuffs like that,” alisema Cpwaa.

Ameongeza kuwa wasanii sasa wanatakiwa kujipanga sababu wananchi wengi wana uwezo wa kuona vituo vingine kama Trace kupitia ving’amuzi hivyo ni lazima wafanye video zenye viwango ili nyimbo zao zichezwe huko pia.

Hizi ni baadhi ya picha ya Kongamano hilo lililofanyika kama sehemu ya Mobile Mondoy (MOMO) hapo KINU.

IMG_6734 (600x400)

IMG_6737 (600x400)

IMG_6741 (600x400)

Waanzilishi wenza wa KINU
Waanzilishi wenza wa KINU
Heinken zikisubiri wanywaji
Heinken zikisubiri wanywaji
Mr Uche
Mr Uche

IMG_6754 (600x400)

IMG_6755 (600x400)

IMG_6757 (600x400)

IMG_6758 (600x400)

IMG_6759 (600x400)

IMG_6761 (600x400)

IMG_6763 (600x400)

IMG_6764 (600x400)

IMG_6765 (600x400)

Rashid Shamte na mdau
Rashid Shamte na mdau

IMG_6771 (600x400)

Miongoni mwa wadau wa ICT waliohudhuria kongamano hilo
Miongoni mwa wadau wa ICT waliohudhuria kongamano hilo

IMG_6782 (600x400)

IMG_6786 (600x400)

IMG_6801 (600x400)

Cpwaa akihojiwa na Clouds TV
Cpwaa akihojiwa na Clouds TV

IMG_6806 (600x400)

Heineken Country Manager, Mr. Uche Unigwe akiteta jambo na Catherinerose @CRBarretto (mwanzilishi mwenza wa KINU)
Heineken Country Manager, Mr. Uche Unigwe akiteta jambo na Catherinerose
@CRBarretto (mwanzilishi mwenza wa KINU)
Rashid Shamte wa Push Mobile akizungumza na mdau wa KINU
Rashid Shamte wa Push Mobile akizungumza na mdau wa KINU

IMG_6812 (600x400)

Heinken ilitoa vinywaji vya bure
Heinken ilitoa vinywaji vya bure

IMG_6816 (600x400)

Coders wakibadilishana mawazo
Coders wakibadilishana mawazo
Washiriki wakifurahia vinjwaji baada ya Kongamano
Washiriki wakifurahia vinjwaji baada ya Kongamano

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents