Michezo
Picha: Cristiano Ronaldo katika hatua za mwisho kujiunga na Juventus
Picha: Cristiano Ronaldo katika hatua za mwisho kujiunga na Juventus
Cristiano Ronaldo yupo kwenye hatua za mwisho za kufanya vipimo vya afya kabla ya kutua Juventus.
Hii leo siku ya Jumatatu, Cristiano Ronaldo amewasili Makao Makuu ya klabu ya Juventus tayari kwa kufanyiwa vipimo vya afya ili kukamilisha usajili wake akitokea Real Madrid ya Hispania.