Burudani

Picha: Diamond alivyowasha moto katika tamasha la kilele cha mbio za Mwenge Zanzibar

Usiku wa Jumamosi hii Diamond Platnumz ametumbuiza katika uwanja wa Amaan katika Mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Zanzibar katika tamasha la kusherehekea kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na maadhimisho ya kifo cha Hayati Mwalimu Julius Nyerere.

Katika tamasha hilo Diamond alihudhuria na timu yake ya WCB akikwemo na Petit Man na wengine. Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents