Diamond Platnumz

Picha: Diamond,Shetta na Dully Sykes watoa burudani katika uzinduzi wa Msasani City Mall

Diamond, Shetta na Dully Sykes jana walitoa burudani katika uzinduzi wa Msasani City Mall iliyopo maeneo ya Msasani jijini Dar es Salaam. Hizi ni baadhi ya picha.

Burudani ikiendelea
Burudani ikiendelea

Burudani
Burudani

Diamond akiimba kwa hisia
Diamond akiimba kwa hisia

Diamond akionyesha upendo kwa mashabiki wake wa ukweli.
Diamond akionyesha upendo kwa mashabiki wake wa ukweli

Diamond akiteta jambo na Dully
Diamond akiteta jambo na Dully

Diamond akiwa na mashabiki wake baada ya show ya uzinduzi wa Msasani city mall
Diamond akiwa na mashabiki wake baada ya show ya uzinduzi wa Msasani city mall

Diamond akiwapagawisha mashabiki
Diamond akiwapagawisha mashabiki

Diamond alipata nafasi yakupiga picha na shabiki wake.
Diamond alipata nafasi ya kupiga picha na shabiki wake

Diamond alishuka jukwaani na kusalimiana na mashabiki.
Diamond alishuka jukwaani na kusalimiana na mashabiki

Diamond na Dully wakiimba katika uzinduzi wa Msasani city mall
Diamond na Dully wakiimba katika uzinduzi wa Msasani city mall

Diamond

DSC_5647

DSC_5655

DSC_5659

DSC_5667

DSC_5669

DSC_5670

DSC_5671

DSC_5678

DSC_5681

DSC_5693

DSC_5696

DSC_5697

DSC_5698

DSC_5699

DSC_5704

DSC_5707

DSC_5719

Full burudani kutoka kwa Shetta

Jamani Diamond !!!!!!

Kipenzi cha watu Diamond akisalimia na shabiki yake.
Kipenzi cha watu Diamond akisalimia na shabiki yake

Love kwamashabiki
Love kwamashabiki

Msasani city mall ikiwa tayari imeanza kufanya kazi.
Msasani city mall ikiwa tayari imeanza kufanya kazi

Mtoto akionyesha mapenzi ya kweli kwa msanii Diamond kwa kuakikisha angalau anapata nafasi ya kumshika mguu.
Mtoto akionyesha mapenzi ya kweli kwa msanii Diamond kwa kuakikisha angalau anapata nafasi ya kumshika mguu

Raque akiteta jambo na ndugu wa Diamond.
Raqey akiteta jambo na ndugu wa Diamond, Romeo

Shabiki akishika mguu wa Dully kuonyesha jinsi gani wasanii wetu wanavyopendwa.
Shabiki akishika mguu wa Dully kuonyesha jinsi gani wasanii wetu wanavyopendwa

Shabiki wakifurahia burudani
Shabiki wakifurahia burudani

Shetta akiwa na shabiki wake
Shetta akiwa na shabiki wake

Shetta
Shetta

Wadau waliojitokeza katika uzinduzi wa  Msasani city mall ambao uliendana sambamba na burudani kutoka kwa Diamond,Dully na Shetta.
Wadau waliojitokeza katika uzinduzi wa Msasani city mall ambao uliendana sambamba na burudani kutoka kwa Diamond,Dully na Shetta.

Warembo wengi walipata nafasi yakupiga picha na  Diamond
Warembo wengi walipata nafasi ya kupiga picha na Diamond

Watoto alifurahia uwepo wa Diamond na kupiganae picha
Watoto alifurahia uwepo wa Diamond na kupiganae picha

Watoto wakionyesha upendo kwa kushika viatu vya Diamond.
Watoto wakionyesha upendo kwa kushika viatu vya Diamond

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents