Picha

Picha: Drake katika muonekano wa miaka ya 70 kwenye movie mpya ya comedy

Kama umeshawahi kuona picha za watu wa miaka ya 70, walikuwa na style yao ya uvaaji ambayo ni pamoja na mawigi makubwa. Kwa sasa wapo watu ambao huvaa hivyo kama fashion tu.

drake 70-3

Rapper kutoka Canada Drake ataonekana katika movie ya comedy inayoitwa Anchorman 2 huku akiwa amepiga mavazi pamoja na wigi kubwa style zilizokuwa zikitumika miaka ya 70.

Comedy film ya Anchorman 2 inategemewa kutoka December 20, 2013

drake 70 new

drake 70-2

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents