Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Picha: Eniko Parrish wa Kevin Hart atoka hospitali baada ya kujifungua salama

Eniko Parrish ambaye ni mke wa Kevin Hart ameruhusiwa kutoka hospitalini baada ya kujifufungua Jumanne hii.

Hart amethibitisha hilo kupitia mtandao wa Instagram, kwa kuweka picha akiwa na mkewe [Eniko] pamoja na mtoto wao huyo na kuandika, “Little Man is coming home….As you can see @enikonhart is up & running & back to normal. She’s a rockstar…The woman’s body is unbelievable.”

“The strength that she displayed over these past 3 days was like nothing that I have ever seen. I’m lucky to have you in my life and even luckier to call you my wife…I love you woman,” ameongeza.

Mtoto huyo ambaye amepewa jina la Kenzo Kash ni wa kwanza kwa wawili, lakini ni watatu kwa Kevin Hart.

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW