Picha
Picha: Epic Open MiC ilivyofana jana Mwembe Yanga – Temeke
Marco Chali Foundationa jana ilifanikiwa kuendesha tamasha kubwa la Epic Open Mic lililofanyika katika uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es Salaam. Katika tamasha hilo wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Madee, Nay wa Mitego, Diamond, Walter Chilambo na wengine. Hizi ni picha zinazoonesha mambo yalivyokuwa.