Burudani

Picha: Ex wa Lil Wayne ajiandaa kwa ujio wa mtoto wa pili kwa baby shower

By  | 

Wiki hii imefanyika Baby Shower ya aliyekuwa mke wa rapper Lil Wayne, Antonia “Toya” Wright ambaye anatarajia kupata mtoto wake wa pili hivi karibuni.

Lil Wayne na Toya ambaye pia ni mtangazaji wa runinga walikuwa kwenye mahusiano kwa takribani miaka nane na walifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike aitwaye Reginae “Nae” Carter mwenye miaka 19.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments