Picha

Titanic yatwaa nafasi ya kwanza katika Safari Lager Nyama Choma Competition 2013

Baa ya Titanic kutoka Vingunguti jijini Dar-Es-Salaam, Jana jioni iliweza kunyakua ushindi wa kwanza katika shindano la Safari lagaer Nyama Choma Competition 2013, katika fainali iliyofanyika katika viwanja vywa Leaders Club jijini Dar-Es-Salaam.

Shindano hilo ambalo jana lilifikia kilele chake lilizikutanisha baa tano ambapo kati ya hizo, baa ya Fyatanga ilichukua ushindi wa pili na ushindi wa tatu ulienda kwa baa ya Asenga na Soccer City ilichukua nafasi ya nne wakati baa ya Uhakika ikishika nafasi ya tano. Baa zote ikiwemo ya Titanic zilijishindia tuzo za kuanzia shilingi milioni moja kwa mshindi wa kwanza, laki nane kwa mshidi wa pili, laki sita kwa mshindi wa tatu, laki nne kwa mshindi wa nne na kiasi cha shilingi laki mbili kwa mshindi wa tano, ambazo zilikabidhiwa na mgeni rasmi Mkuu wa wilaya ya Ilala Bwana Raymond Mushi akishuhudiwa naye meneja wa kinywaji cha Bia ya safari lager ambao ndio wadhamini wakuu wa shindano hilo la Safari Lager Nyama Choma competition 201, Bwana Oscar Shelukindo.

Angaia picha za hapa chini

Waigizaji wa bongo movie
Waigizaji wa bongo movie
Uhakika Pub ikifanya mambo yake
Uhakika Pub ikifanya mambo yake
Soccer city bar nayo ilishiriki
Soccer city bar nayo ilishiriki

Shabiki wa yanga namba1 akikwepo kwenye safari lager nyama choma

Nyama choma ikikatwa katwa
Nyama choma ikikatwa katwa
Mshindi ya nne akichukua zawadi
Mshindi ya nne akichukua zawadi
Mshindi wa tatu akikabidhiwa zawadi yake
Mshindi wa tatu akikabidhiwa zawadi yake
Mshindi wa tano akichukua zawadi
Mshindi wa tano akichukua zawadi
Mshindi wa pili akikabidhiwa zawadi yake ya laki 8
Mshindi wa pili akikabidhiwa zawadi yake ya laki 8
Mshindi wa kwanza akipokea zawadi yake ya shilingi milioni 1
Mshindi wa kwanza akipokea zawadi yake ya shilingi milioni 1
Meneja wa Safari Lager Oscar Shelukindo
Meneja wa Safari Lager Oscar Shelukindo

Mnenguaji wa Twanga pepeta akifanya mambo

Mmiliki wa bar iliyoshika nafasi ya tatu akiwa amebebwa na wafanyakazi wake wakimpeleka jukwaani
Mmiliki wa bar iliyoshika nafasi ya tatu akiwa amebebwa na wafanyakazi wake wakimpeleka jukwaani
Model wa Safari Lager
Model wa Safari Lager
Mshindi akiwa amebebwa juu juu akirudishwa kwenye ofisi yake ya Titanic
Mshindi akiwa amebebwa juu juu akirudishwa kwenye ofisi yake ya Titanic
Meneja wa bia ya Safari Lager ,Oscar Shelukindo ,kushoto,akiteta jambo na mwenzake
Meneja wa bia ya Safari Lager ,Oscar Shelukindo ,kushoto,akiteta jambo na mwenzake

Jaji wa safari lager nyama choma

IMG_6696

IMG_6693

IMG_6687

IMG_6619

IMG_6649

Mshindi akipokea zawadi yake
Mshindi akipokea zawadi yake
\>
IMG_6680

IMG_6580

Mnengueaji wa Twanga Pepete akiwa kazini
Mnengueaji wa Twanga Pepete akiwa kazini
Wapenzi wa pool table wakichuana
Wapenzi wa pool table wakichuana

IMG_6590

Mdau akifurajia bia
Mdau akifurajia bia

IMG_6578

IMG_6577

IMG_6568

IMG_6567

Asenga Pub ikifanya makamuzi
Asenga Pub ikifanya makamuzi
Shelukindo akiwaonesha bia ya Safari Lager wananchi waolifika maeneo ya Leaders
Shelukindo akiwaonesha bia ya Safari Lager wananchi waolifika maeneo ya Leaders

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents