Habari

Picha: Familia ya Obama yatembelea Indonesia

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama na familia yake wametembelea nchini Indonesia kwa mapumziko yao binafsi wakiwa na ulinzi mzito.

Obama na familia yake waliwasili nchini humo wakiwa katika ndege binafsi ambayo walifikia katika moja ya hoteli za kifahari. Ziara hiyo imefanyika kwa muda wa siku tano na ametembelea sehemu mbalimbali kama vile kisiwa cha Bali, na Magelang kisha kuelekea katika mji wa kihistoria wa Yogyakarta.

Moja ya mtu aliyesoma na Rais huyo Sonni Gondokusumo(56,) alisema kuwa “I feel proud that my friend became a president, He was a clever boy. Whenever a teacher asked him to solve a problem in front of the class, he could do it,” ameeleza mtu huyo.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents